moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kuna kaukweli
Hahah! Nilijua tuKing wenu kala mtama mtamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hizi picha una siri nazo gani mpendwa?
Shwari bro, wkend inasemaje hapo?
Sidhani kama anajua lolote huyu. Ingekuwa ISIS labda au Mshana Jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221]Hivi hizi picha una siri nazo gani mpendwa?
Simba ya buyenze siku hizi kastaafu mpendwa.weweeeee kama angelikuwa ni BAK mwenyee tungelikwisha shuhudia makalio ya ebony humu ndaniiiiii.
hata maneno matamu kwa muheshimiwa de magufuli huyu mkoka hana.
au BAK amebadilika na ameamua kumuachia babu SHIMBA YA BUYENZE aendeleze tabia pendwa?