Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Upo?Sidhani kama anajua lolote huyu. Ingekuwa ISIS labda au Mshana Jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221]
Upo?Sidhani kama anajua lolote huyu. Ingekuwa ISIS labda au Mshana Jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221]
hivi karibuni nilipumzika siku 6 bila ya kuingia JF nilijihisi kama nimepoteza billioni 120.Aisee
Simba ya buyenze siku hizi kastaafu mpendwa.
yes yes yesNimegundua kitu una kipaji kizuri cha kuongea mpendwa, comments zako huwa zinafurahisha una Kiswahili cha watu wa pwani.
hivi karibuni nilipumzika siku 6 bila ya kuingia JF nilijihisi kama nimepoteza billioni 120.
nikikaa kidogo najiuliza
nawashangaa wale wanaokaa zaidi ya mwezi bila ya kutembelea JF hivi wanawezaje?
- babu shimba amepost makalio ya nani leo hii?
- bak ameandika kikristo gani huko?
- team kirikuu watafikisha magoli 30 msimu huu?
- hawachi mpendwa ameshang'oa jino lake
- yule bwege aliyetishwa na numbisa ameshaweka picha zake
- mkwepu junior ameshaandika comment japo mara moja.
- amina ameshaweza kuandika kiswahili sahihi
- kgothalo ameshaacha kupost video za muziki haliyakuwa watu wenyewe hawana muda wa kuangalia
huko waliko hakuna internet?
Nipo kabisaa mpendwa Hawachi japo nitaondoka nikajipikilishe sasa. Mvua tu yaani raha tupu kubakia kitandani leo wallahiUpo?
Ya Mbeya ama?
Kwani uongo..? Ukionesha upendo,yule mtu mkorofi anafurahi ujue😉Jamani
lazima astaafu kwa sababu ya upepo wa kisulisuliSimba ya buyenze siku hizi kastaafu mpendwa.
Aisee kwenye gari mkeo ndio anakaa mkao huu unafaidi sana hongera mpendwa.