Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23][emoji23]hebu muache kwanzaLeo cole sijui kanywa nini aaah natamani nimdiss messi nione kama cole atamaind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weraaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woyooo ukinywa maji unamuona kwenye glass,ukila ugali unamuona kwenye tonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu muache kwanza
Leo yuko oni fayaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91]
Mrembo hujamboHapana Kaka, naomba matokeo tafadhali
😀Mmmmmmmmmmmh! Hisia manazo labda hamjazijua kama ndio hisia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sie tusio na hisia wala hatujui hayo
Hahaa!!Namuachia mkokaa kwa muda. Maana ninge na coco wote tupo liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakishua lazima hii kitu uiruke kwenye ile draft ya nguvuSijui kwanini sipendi cabbage
Tunaongoza 2-0 dk ya 90Hapana Kaka, naomba matokeo tafadhali
Hahaha!Nakuona mzee wa kukazia[emoji119][emoji119]
Tunajikokota ila soon tutakaa sawa japo nimetoka kuangalia mpira hapa sija-enjoy kabisa japo tumepata sare.mmh kichwa mbona hivyo achia cole cole nafasi
Anyway spurs hawajambo?
#coleakichapwaitakuwauzembewakemwenyeweTuchapwe kwani tumependa??
Ole wako Cole achapwe.Yaani siku nikijiona nimeunga foleni ya viboko mstari mmoja na Cole sitakuelewa kabisa Carba.
#uonevuHuu
Haha jamaa kamjibu tayali
Wakishua wapiWakishua lazima hii kitu uiruke kwenye ile draft ya nguvu
Wengi hawapendi kabechi
Vipi ile kauli ya "Kisasi ni haki" naona inakatana na hii, au ubaya huu na ubaya wa kisasi vina tofauti?Ubaya haulipwi kwa ubaya..
Nitakuwa karibu na tv kufuatilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]