Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahah! Defensive mechanism ya Man U fans hii, mkishinda tutafurahi pia mkifungwa tutafurahi piaNilisahau hii. Kesho kama kawa mie timu liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Defensive mechanism ya Man U fans hii, mkishinda tutafurahi pia mkifungwa tutafurahi pia
Daaah! Mkatalunya hujawahi kufunguka hivi asee, Yule jamaa wa Hijab akija atashangaa sana ...
Sasa hapo hakuna namna Mkatalunya itabidi koloni lirudi nyumbani tu naimani nafasi yake bado unayo.....
Haki nampongeza maana nimekuta like 120😀😀😀Mkwepu kama konge anamwaga likes hadi raha
Nimekuta 505 aiseee.Haki nampongeza maana nimekuta like 120😀😀😀
Tumetoka mbali sana bro.....Tena mambo yakikaa sawa rudisha hii avatar ya ki legend [emoji109][emoji109]
View attachment 1238509
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyo nafasi yake kila sekunde, kila dakika, kila saa na kila wakati huyo hata afungishe vipi kwenye kikosi yeye ndiyo golia namba moja [emoji23]
Wewe ni super straa zote hizo 😁😁😁😁😁Nimekuta 505 aiseee.
Yupo mwingine anaitwa konge aisee ilikua siku akiamua ni shida
Leo cole sijui kanywa nini aaah natamani nimdiss messi nione kama cole atamaind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ata kabla game haijaanza unajua atafungisha tu lakini umeshamsamehe kabisa kabisa huku unawasisitiza maforwads watupe za kutosha ili kufuta makosa yake.....
Umeshaongea sana Mkatalunya sasa ni muda wa kuupa muda muda wake ili uamue...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuonea huruma sana, nmesikia saivi wanachapwa mboko wasio na wenza.