moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Me Niko 💙 na tushaondoka na kimojaHuku kwema kabisa, tunapiga mtu huko premier league.Hivi si upo man city eeeh?
#hujapendaJina?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio bro, naimani mambo yatamnyookea.Sitaki kabisa kutia neno nisije mwaribia.
Doh![emoji134][emoji134]Ashasema, kama hujasikia shauri yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mzingatie Mkatalunya [emoji3]
Sina namna, nitarejea marudio tuu.Unapitwa sana, kuna mpira mkubwa sana unachezwa na City
Poa ngoja aje
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna harakati hapo.
Ndio bro, japo siangalii game.
#nawazaNiweShemejiTuuHumu
Namuonea huruma sana, nmesikia saivi wanachapwa mboko wasio na wenza.😂😂😂 bro wewe ndio unamfanya Bradha azidi kuniletea fujo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Niwacheee
Kwenye kumfunga liver ndo pagumu kaka ake[emoji23][emoji23]Hahhahaaha[emoji23][emoji23] kijana mpole taratibu unalainika.
Wafungeni Liverpool upindue meza[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiKwenye kumfunga liver ndo pagumu kaka ake[emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah, wewe ni Man city!!!Me Niko 💙 na tushaondoka na kimoja
Ila inategemea na mood itakuwa wapi 😂 kama hiyo Madrid na city Niko city, liver na man Nitakuwa liver
#Jinakwaniushapokeamahari? 💃