Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1571483585271.jpeg
 
Kwa wale wanaujua mtaa wa Samora jijini Dar es salaam.
Kabla ya tarehe 19 oktoba 1986, mtaa huo ulikuwa unajilikana jina la INDEPENDENCE Avenue.
Jiji la Dar es salaam chini ya meya Kitwana Kondo walibadirisha Jina la mtaa huo maarufu sana pengine kuliko mitaa yote Dar es salaam na kuitwa Samora Avenue.
Tukio hilo lilifanyika siku kama ya leo baada kupatiaka taarifa za kifo cha rais wa kwanza wa Msumbiji huru Samora Machel.
FB_IMG_1571491387408.jpeg
 
Back
Top Bottom