moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mashabiki wa liverpool tujuane mapema
Mashabiki wa liverpool tujuane mapema
✌✌Mashabiki wa liverpool tujuane mapema
Lile zali la mentali ndio lilimtokea Prof J huu mtaa alipokutana na mtoto Vicky hapaSamora Avenue DarView attachment 1238352
[emoji23][emoji23][emoji23] Unacheka nini
Me sijaonaWoow!
Heheh! Kuna wakati inabidi uwe mpole ili mambo yaweze kwenda sana Queen
#MembersWoteHumuWaoneHiyo
😂😂😂😂🚶
#baridiimekuwakalikipandehiki
#siwezikuchatiakwenyeblanket
Nakusalimia shabiki wa man u
Kati ya watu nisioweza kuwaletea ligi wewe mmoja wao be free uliza bana unaninyima ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi naogopa
Kwenye blanket nilikuwa mchana au we ile baridi uko kwenu haikufika?Upo kwenye blanket kumbe
Au ndo hakuna mkate mgumu[emoji2]Woow!
Heheh! Kuna wakati inabidi uwe mpole ili mambo yaweze kwenda sana Queen
#MembersWoteHumuWaoneHiyo
Hivi hii comment ni ya wewe mgumu ambaye uliwahi kuandika kwamba huna kubebishana tena ukasema we ni mgumu zaidi ya jiwe 😀😀😀😀Yote yako na vyote ningeshakupa, kwako nife if possible nizikwe na wewe kabisa. Na uishi milele moyoni mwangu🥰
Hahaha...Yaani nikasema wagumu ndo wanabebisha hivi[emoji2]Hivi hii comment ni ya wewe mgumu ambaye uliwahi kuandika kwamba huna kubebishana tena ukasema we ni mgumu zaidi ya jiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye blanket nilikuwa mchana au we ile baridi uko kwenu haikufika?
Now nipo kule, iki kijua kilichotoka kimenibariki 💃
Namsubiri aje hapa aliwahi kunipa za uso humu😀😀😀Hahaha...Yaani nikasema wagumu ndo wanabebisha hivi[emoji2]
Aisee, hahaNamsubiri aje hapa aliwahi kunipa za uso humu😀😀😀View attachment 1238388
Namsubiri aje hapa aliwahi kunipa za uso humu😀😀😀View attachment 1238388
Hapana Chezea baridi na mvua hii 😀😀😀Aisee, haha
Allah ampe pumziko jema mama yetu.RIP MWALIMU.
Mwalimu wa walimu Kariakoo amefariki Duninia.
Mwenyezi Mungu akupe makazi mema peponi mama yetu[emoji120][emoji120][emoji120] mpenziView attachment 1238386