Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

B
Screenshot_20191019-145703_Chrome.jpeg
 
Nadhani kuna kada furani miongoni mwetu wanatumia baadhi ya picha kama alama ya matambiko ya dini zao.
Sisi wengine tunazitumia kwa furaha ya uzi wetu pendwa na siyo vinginevyo[emoji120][emoji120]
Sidhani kama anajua lolote huyu. Ingekuwa ISIS labda au Mshana Jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Siku sita, bro umefanya jambo gumu sana
hivi karibuni nilipumzika siku 6 bila ya kuingia JF nilijihisi kama nimepoteza billioni 120.
nikikaa kidogo najiuliza
  1. babu shimba amepost makalio ya nani leo hii?
  2. bak ameandika kikristo gani huko?
  3. team kirikuu watafikisha magoli 30 msimu huu?
  4. hawachi mpendwa ameshang'oa jino lake
  5. yule bwege aliyetishwa na numbisa ameshaweka picha zake
  6. mkwepu junior ameshaandika comment japo mara moja.
  7. amina ameshaweza kuandika kiswahili sahihi
  8. kgothalo ameshaacha kupost video za muziki haliyakuwa watu wenyewe hawana muda wa kuangalia
nawashangaa wale wanaokaa zaidi ya mwezi bila ya kutembelea JF hivi wanawezaje?
huko waliko hakuna internet?
 
Back
Top Bottom