Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUST IMAGINE JUST IMAGINEEEE!!!!

MABIBI NA MABWANA


kuelekea lile pambano letu pendwa kabisa siku ya kesho pale old trafodi

Watu wameshaanza kuweka bet tamu tamu kabisa

Bet kubwa kuliko yote ni ya Our beautiful onyinye carba

Bet iliyozima mapovu yoote yaliyoandaliwa na esta kama kupooza machungu ya huo mpambano.mtamu kabisa

Wakati tukisubiria mechi yetu pendwa tupate matangazo kidogo toka kwa bradha anayechokoza himaya ya king mswati
Mpango wako wa kunigombanisha na king nimeushtukia.Kamwe hutafanikiwa.

Nina salamu zako kesho jioni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
giphy%20(2).gif
 
Back
Top Bottom