Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
6:00pm
Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilimiss hizi vocal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mie pia naombea kipigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#IliBetYetuItimie
Nyie man u ndio hamtaamini vile mtakavyo angukia pua 🚶Hamtaamini kitakachowakuta kesho
Aaah! Sasa unakosea bro maana ukileta vyama vingi itabidi nijilegeze na kujiliza sana ili niweze kwenda sawa na soko la ushindani hapa. Sawa mimi sio mgumu lakini kulegea sana nako sio poa ujueBro,
Utanishukuru baadaye, nilijaribu kuwa mpinzani ili mambo yawe mambo😀😀😀.
Mfumo wa chama kimoja hauleti maendeleo chap chap😀😀😀😀
[emoji23]hata mimi naona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakijijua watajidai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wadau tumeshaonaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa hata mwijuma aliimbia si wa kwanza yeye kulilia mapenzi toka enzi zile za mababu zetuuuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#haitakuwamarayakwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coleeee[emoji119][emoji119][emoji119]Mkatalunya huyo Mchumba anasumbua sana hii timu, ni zaidi ya king kuwekwa bench final ya World Cup au Champions league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hii comment ni ya wewe mgumu ambaye uliwahi kuandika kwamba huna kubebishana tena ukasema we ni mgumu zaidi ya jiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ooohooo ukifuta hadi quote yangu naandamana mieeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri mlengwa hajaona bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ni motroo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maisha yangu yanazidi kuwa magumu humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu X wangu kabla ya kuwa Mgumu ndiyo alikuwa kakabidhiwa nchi mpaka katiba anatunga yeye, ghafla akanipiga chaga since then nikawa Mgumu mpaka Leo ninavyo kwambia lakini Nina moyo na Mimi tena wa nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujiandae kumbembeleza bae wakoNyie man u ndio hamtaamini vile mtakavyo angukia pua [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah! Sasa unakosea bro maana ukileta vyama vingi itabidi nijilegeze na kujiliza sana ili niweze kwenda sawa na soko la ushindani hapa. Sawa mimi sio mgumu lakini kulegea sana nako sio poa ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulia kwake ni jasusi bobevu la KGB kutoka Urusi lijulikanalo kama Vladimir Putin. Jasusi hilo lilikuwa linaongoza kikosi kidogo cha ufundi kilichokuwa kimetumwa Msumbiji ili kuwapa mikakati ya kimedani wapiganaji wa FRELIMO.Samora Machel akiongoza jeshi la ukombozi la FRELIMO kwenye mapambano ya ukomboziView attachment 1238265
Ewaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa hata mwijuma aliimbia si wa kwanza yeye kulilia mapenzi toka enzi zile za mababu zetuuuuuuuuuu
Kwa likeeessss hakuna majungu
Hakuna mizengwe wala vijembe
Hakuna ukabilaaaaa
😂😂😂😂😂😂Mimi na wewe team moja basi tuu hauoni.Hebu jaribu kuvaa ile miwani uone.
Siwezi kuharibu ili hali nasubiria ile 'assist'😀😀😀
#youWillThankMeLater
EnheeeHuyu X wangu kabla ya kuwa Mgumu ndiyo alikuwa kakabidhiwa nchi mpaka katiba anatunga yeye, ghafla akanipiga chaga since then nikawa Mgumu mpaka Leo ninavyo kwambia lakini Nina moyo na Mimi tena wa nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]