Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUST IMAGINE JUST IMAGINEEEE!!!!

MABIBI NA MABWANA


kuelekea lile pambano letu pendwa kabisa siku ya kesho pale old trafodi

Watu wameshaanza kuweka bet tamu tamu kabisa

Bet kubwa kuliko yote ni ya Our beautiful onyinye carba

Bet iliyozima mapovu yoote yaliyoandaliwa na esta kama kupooza machungu ya huo mpambano.mtamu kabisa

Wakati tukisubiria mechi yetu pendwa tupate matangazo kidogo toka kwa bradha anayechokoza himaya ya king mswati
 
JUST IMAGINE JUST IMAGINEEEE!!!!

MABIBI NA MABWANA


kuelekea lile pambano letu pendwa kabisa siku ya kesho pale old trafodi

Watu wameshaanza kuweka bet tamu tamu kabisa

Bet kubwa kuliko yote ni ya Our beautiful onyinye carba

Bet iliyozima mapovu yoote yaliyoandaliwa na esta kama kupooza machungu ya huo mpambano.mtamu kabisa

Wakati tukisubiria mechi yetu penda tupate matangazo kidogo toka kwa bradha anayechokoza himaya ya king mswati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hufai kabisa wewe
#akilizakozinakutoshamwenyewe
#ankoosijuiyukowapi
#nimechekakamachizi
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huyu X wangu kabla ya kuwa Mgumu ndiyo alikuwa kakabidhiwa nchi mpaka katiba anatunga yeye, ghafla akanipiga chaga since then nikawa Mgumu mpaka Leo ninavyo kwambia lakini Nina moyo na Mimi tena wa nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂. Daah! Kweli Katalunya pamechafuka

#Moyowanyama
 
Nafunga kuanzia sasa mpaka kesho ili maajabu yatokee. Yaani hili litakuwa jambo jema ajabu. Tayari nimeanza kukemea na kunena kwa lugha hapa....ooooh sweet Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Napinga kwa manguvu yote comment imechakachuliwaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah kiunzi kizito lakini naamini watasikia maombi yangu vijana wa Ole,
#kwakovyotesawailababanitan’garisha zaidi
 
Back
Top Bottom