myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:2819:17
Enzi hizoSam Nojuma--Namibia, Kenneth Kaunda--Zambia, Samora Machel--Msumbiji, Mwalimu Nyerere--Tanzania, Robert Mugabe Rhodesia, Sir Seletse Khama--Botswana.
Katika moja ya mikutano ya viongozi wa nchi zilizo mstari wa mbele wa ukombozi kusini mwa Afrika.View attachment 1238255
😵Bado hazijaaanza mapema xaaana
Mkiifunga liver nakurudia[emoji23][emoji23]
#unatakakuitwababaauuncle?
Heheheeee hii bet tamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu nimekosea ngoja nika edit
Nilimaanisha mkiifunga liver[emoji125][emoji125][emoji125]
Haaaaha kweli bet tamu ingekua yang hyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Naumia moyo ukinikumbusha hizo enzi carbamazepine niweke hata spare.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cole hajawahi kuwa mgumu kwa carba
Enzi hizo kulikua na kapo ya Cole and Carba
Shuain zake kichwa kichafu akishirikiana kwa karibu na EPL mambo yakavurugika balaa
Daaah! Mkatalunya hujawahi kufunguka hivi asee, Yule jamaa wa Hijab akija atashangaa sana ...Mkatalunya asikwambie mtu huyo ndiyo mwanamke ambaye hata kama sikuwaga mtu wa social media ila mixer hashtag za Drunken love
#haposidekitukijpmhapompakacdzadjkhalid
Hahah! Uzuri mimi na wewe huwa hatuhitaji maneno mengi ili tuweze kuelewanaNilijua tuu kuna mtu ataitag hii😂😂😂😂
Sema bro😀😀😀
Ndio bro, naimani mambo yatamnyookea.Sitaki kabisa kutia neno nisije mwaribia.😂😂😂
Unamfatilia Mkatalunya?
Dada TH, unaangalia game yetu au?
Hawachi anakuja kwa kasi sana , hahahahahaha😂😂😂😂 Hawachi wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uji mtamu panapostahili eti ee