Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20191020-060603_CamScanner.jpeg
 
Yaani hawa wameona hiyo ndio habari ya kuweka fonti fedi
Ishu ya kisulisuli ama?

Ni jambo la muhimu ndiyo kwa sababu ndoa ndiyo msingi wa familia; na familia ni kila kitu. Natumaini wamelijadili kwa kina. Ukibahatika kulisoma nipe dondoo muhimu za wanasaikolojia na wanasosholojia waliotoa maoni yao.
 
Back
Top Bottom