Uchochoro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisaidie kumtag Mswati[emoji23][emoji23] umevuta bangi
Pac na Bob majina yao yataishi milele hapa DunianiHili jamaa limekufaga kimwili ila kiroho bado linaishi aise..
Noma mzee, hurushi ngoma humo ndaniThe best album ninaikubali kinoma.
Mambo vipi mrembo wangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisaidie kumtag Mswati
Aisee#mufc are preparing themselves for a third takeover bid from Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed Bin Salman. The club have already rejected two bids, the second being £3bn
View attachment 1238979
Mambo huwa mazuri nikikuona mahali hapa..,U mzima.?Mambo vipi mrembo wangu?
Nafurahi pia kukuona tena ukiwa na furaha kama leo hivi, mimi mzima kabisa usiwe na shaka....Mambo huwa mazuri nikikuona mahali hapa..,U mzima.?
💖 Nikutakie wakati mwema kwa sasa..mpaka hapo baadaeNafurahi pia kukuona tena ukiwa na furaha kama leo hivi, mimi mzima kabisa usiwe na shaka....
Asante Queen wangu 😘😘💖 Nikutakie wakati mwema kwa sasa..mpaka hapo baadae