Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1560752862526.jpeg
 
Tuliwahi kupiga mawe nyumba ya mwalimu. Nyang'anyang'a. Viboko vya uhakika tulikula. Nyumbani tukarudishwa, pesa tukalipa na maisha yakaendelea. Kwenye mitanange kama hii kama wewe ni mtoto wa mkulima na ulifuata mkumbo ukarudishwa nyumbani aisee safari yako ya matumaini inaweza kuishia hapa. Bahati yetu sisi tulikuwa na mkuu wa mkoa mshua akaja akatusamehe na akatuomba tusirudie tena. Ingekuwa kama huyu sijui ingekuwaje....
Mambo mengine yanasikitisha.
Najaribu kuwawaza wale ambao walirudishwa nyumban bila hatia na wameshindwa kulipa kiasi cha pesa walichoambiwa.
 
Back
Top Bottom