Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2016-08-20%2020.06.31%201321145107722571434_3317546160.jpeg
 
Hahahaaa wanasema practice makes perfect...
Nilikua namzingua tu numbisa..
Inaonekana umehifadhi meme nyingi. Mpaka leo hiyo meme unayo
Kuna channels za Telegram za Wakenya huwa wanaweka hizi memes nami huzitoa huko japo nyingi huwa sizielewi kwa sababu matani yao mengi ni tofauti na yetu
 
Back
Top Bottom