moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
una album ngapi mjinga wewe?Sio yule atayekuficha kama demu wako hajatulia
Kisa siku zilizopita yeye pia alimpitia...
πππππππππππ Aisee!una album ngapi mjinga wewe?
kazi kwakoπππππππππππ Aisee!
Hongera jana kwa kunipunguzia mtu points mbili
Naimani ata sita naweza ila ikishindikana ata hizo nne sio mbaya zitafaa kabisakazi kwako
i hope utampunguza japo alama 4 msimu huu