myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Umoja na upendo udumu
account imevamiwaLeo umekula K - vant nini?
Tena aliyevamia ni mla Sembeaccount imevamiwa
kuna utafiti fulani nimeuona juzi taarifa yake:Tena aliyevamia ni mla Sembe
Heheh! Nguvu zetu tena.... Huku ata ukisema kunywa maji ya Bahari yanaongeza hizo nguvu amini nakuambie Zenji tutakua tunakuja kwa ndege tu maana Bahari wataikaushakuna utafiti fulani nimeuona juzi taarifa yake:
wanasema tungule au nyanya zinaongeza nguvu za kiume.
basi nimemkuta mtanganyika kaweka sahani yake ya sembe kavu na bakuli la tungule.
hakyamungu nyinyi watu munajikosesha utamu wa bure.
naamini hivyo.Heheh! Nguvu zetu tena.... Huku ata ukisema kunywa maji ya Bahari yanaongeza hizo nguvu amini nakuambie Zenji tutakua tunakuja kwa ndege tu maana Bahari wataikausha
mez b ameshafariki?Kasuku wange _ Mez B 🎶
M.A.P Mez B wa Area C
Inakimbilia miaka mi5 sasamez b ameshafariki?