Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ye
11666239IW_12gr_f.jpg
 
Unga bei rahisi sana na ukishauchukua ili upate ugali unahitaji moto na maji tu, hivyo watu wa bara wanakula sana ugali kila siku nahisi nikwasababu za kiuchimi labda.....

NB: Wapo wanaopenda kula tu ata kama wanacho kipato
itakuwa wengine wanakula kama starehe pendwa.

wengine ni kwa sababu ya kiuchumi.
wengine wabahiliiii.
wengine wavivuuu.
wengine wazembeee hawajui kupika msosi mwengine.

wewe upo kundi gani hapo?
 
itakuwa wengine wanakula kama starehe pendwa.

wengine ni kwa sababu ya kiuchumi.
wengine wabahiliiii.
wengine wavivuuu.
wengine wazembeee hawajui kupika msosi mwengine.

wewe upo kundi gani hapo?
Sijawahi kuelewa Sembe ila natumia nikikutana na mazingira ambayo inabidi nitumie na hapo kwenye list yako hayapo
 
Back
Top Bottom