Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Unga bei rahisi sana na ukishauchukua ili upate ugali unahitaji moto na maji tu, hivyo watu wa bara wanakula sana ugali kila siku nahisi nikwasababu za kiuchimi labda.....juzi nimealikwa pilau la bara kwa jirani.
aiseeee sa......... karibu pirau ra kwetuuuuuu
nikamwambia hayaaaa
nilipoliona sembe nikamwambia aiseee jilaniiiii nimefungakaaa japokuwa leo ni jumaaamosiiiiiiii
anayechukia ajinyongeee makaburi hayajai
View attachment 1240226
NB: Wapo wanaopenda kula tu ata kama wanacho kipato