Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tulishasema hawasomeshwagi...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Afisa Msaidizi (Mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma bw. James Paulo amemuua mkewe mtarajiwa kwa kummiminia risasi 3 kichwani.

Habari zaidi ni kwamba, kijana huyo alikuwa akimsomesha mtarajiwa huyo kwa ngazi ya Diploma upande wa Afya. Licha ya kujaliwa mtoto mmoja, lakn baada ya masomo mtarajiwa wake alikataa hakuna ndoa. Ndipo kijana huyo akachukua maamuzi ya kumuua kwa silaha ya moto.,
 
IMG-20191021-WA0028.jpeg
 
Nitarudi baadaye kuwapa haki yenu....

Poti, ushawahi kuwatumia hawa Sendwaves? Hivi wana mgogoro gani sasa hivi na VODA? Ni zaidi ya mwezi sasa hawana huduma na TZ ingawa bado wanahudumia nchi jirani, Exchange Rates zao zilikuwa nzuri sana kulinganisha na hawa WesternUnion. Vipiumeshakumbana na kadhia hii mpaka hivi sasa?
 
Tulishasema hawasomeshwagi...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Afisa Msaidizi (Mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma bw. James Paulo amemuua mkewe mtarajiwa kwa kummiminia risasi 3 kichwani.

Habari zaidi ni kwamba, kijana huyo alikuwa akimsomesha mtarajiwa huyo kwa ngazi ya Diploma upande wa Afya. Licha ya kujaliwa mtoto mmoja, lakn baada ya masomo mtarajiwa wake alikataa hakuna ndoa. Ndipo kijana huyo akachukua maamuzi ya kumuua kwa silaha ya moto.,
Aisee!!
Bro watu wakishapenda hawaelewi somo.
 
Back
Top Bottom