Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Miaka 76? Umri umeenda. 2020 Inshallah Mola Ampatie urais alioupigania kwa miongo kadhaa...
Naona mpo kama hampo pia Patrice Evra anawaletea dharau toka jana muangukie kipigo View attachment 1241109
Huyu mkwepu jr ni nani jamani? Mbona yeye huwa haposti cho chote humu ila anagawa likes kama kawa?
Ukuti ukuti wa nazi,Numbisa
Unajua wanacheza mchezo gani hapa[emoji23][emoji23]