Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli mwishoni mwa utawala wa Wenger timu hiyo ilikuwa ya kitoto.
Ilikuwa kila watoto wale wanapopata umri anawauza.
Lakini sasa imebadirika aache dharau.
Kufungwa ni sehemu ya maisha ya mchezo wa soka
Naona mpo kama hampo pia Patrice Evra anawaletea dharau toka jana muangukie kipigo View attachment 1241109
 
MKUU Mkwepu jr jitokeze tujadiliane masuala ya michezo, siasa na mambo mengine ya kijamii hapa jukwaani ili angalu pia tupate faida ya ziada mbali na hizi likes unazotupatia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Karibu sana bro
 
Numbisa
Unajua wanacheza mchezo gani hapa[emoji23][emoji23]
Ukuti ukuti wa nazi,

Tanga serema iyaaa pilipili kidonge iyaaa

Au mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini na gari na gari,tumpeleke hospitali

Enzi hizo raha

King na queen wake bila kusahau ninge na bae wake hata hawaelew kitu hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…