Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tabia moja ya zege (mchanganyiko wa kokoto, mchanga na simenti katika uwioano uliopimwa na kuchanganywa na maji) huendelee kuwa bora kadiri siku zinavyoongezeka. Katika upimaji product ya zege, ubora hupimwa baada ya siku saba kuona kama kuna uwezekanao wa kufikia ubora unaotarajiwa huko baadae.