Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tabia moja ya zege (mchanganyiko wa kokoto, mchanga na simenti katika uwioano uliopimwa na kuchanganywa na maji) huendelee kuwa bora kadiri siku zinavyoongezeka. Katika upimaji product ya zege, ubora hupimwa baada ya siku saba kuona kama kuna uwezekanao wa kufikia ubora unaotarajiwa huko baadae.
 
Kipimo cha siku saba kikionesha kutoatoa majibu ya mwelekeo mzuri basi zege husika inabomolewa. Halafu kuna kipimo baada ya umri wa siku 14 na baadae siku 28 kuhitimisha kwamba viwango vya ubora vitafikiwa kadiri umri wa zege unavyoongezeka.
 
  • January 2001: Mass demonstration prepared by CUF faced severe military exercises from the government. More than 40 Zanzibaris were killed, hundreds wounded, 3000 fled to Kenya, dozens of women raped, properties were either looted or destroyed by government organs and many opposition leaders and their supporters arrested.
 
Si vyema sana kupanga mstari mmoja zaidi ya mifuko 10 mmoja juu ya mwingine. Zipange katika mtindo kwamba iliyotangulia kuhifadhiwa ndio itakayotumika kwanza kwa sababu ni rahisi sana saruji kuanza kuganda ikipata unyevunyevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…