Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh! Mapenzi yana nguvu sana jamani yani mtu anaujua ukweli ila utakuta anabisha tena kwa hoja nzito nzito. Kweli mond kwa Wiz?Kumlinganisha wapi wanambeza balaa wanaona domo wao anaweza kuliko huyu jamaa eti,mnaija anabebwa na population ya kwao
Duh! Mapenzi yana nguvu sana jamani yani mtu anaujua ukweli ila utakuta anabisha tena kwa hoja nzito nzito. Kweli mond kwa Wiz?
Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena
Kwenye family background ni kama Mondi na Kiba. Mmoja came from getto life mwingine anatoka ushuani Yah that could make a big difference if life defeated you before you will never accept defeat againwww.jamiiforums.com
Duh! Mapenzi yana nguvu sana jamani yani mtu anaujua ukweli ila utakuta anabisha tena kwa hoja nzito nzito. Kweli mond kwa Wiz?