Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni siku njema sana kwa mtoto wa kike Tanzania kwani Mahakama ya Rufaa imekubaliana na Mahakama Kuu hivyo vipengele vya sheria ya Ndoa vinavyoruhusu mtoto wa kike kuolewa hata kwa miaka 14 ni batili kwani vinapingana na katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…