D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kosa langu liko wapi?Ila wewe lakini 😂😂😂
- unga wa sembe hauwezi kupikiwa keki
- hauwezi kupikiwa vileja
- hauwezi kupikia maandazi
- hauwezi kupikiwa chapati
- hauwezi kupikiwa sambusa.