Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

umewahi kukutana na ujumbe huu mara kwa mara?
View attachment 1241976
Ndio hapo nimeruka.kwa kuchagua FE nikajikuta hapa
IMG_20191023_171448.jpg
 
nyote muna uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kujenga hoja, tatizo lako wewe hupendi kushiriki mara kwa mara kwenye mijadala ndio maana wengi wanakuchukulia poa ila mimi si mmoja wao.
Asante sana. Mijadala mingi JF huishia kwenye kutukanana na ad hominem attacks. Afadhali tu kutulia huku na kula likes na kufurahi....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mshana Jr ni level ya Kiranga huyo; na mimi hao siwafikii hata robo. Kila mtu na talanta zake. Cha muhimu tu ni kuzitumia talanta zetu tulizopewa kwa uangalifu.

Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mzee wa urojo huyo mara chai na boflo
Sembe ataipenda sangap
  1. kachori
  2. mbatata za kuchemsha
  3. bagia za kunde au dengu
  4. chipsi za muhogo
  5. katlesi za nyama, mbatata au za mayai
  6. mayai
  7. mishikaki
  8. salad
  9. juisi
  10. maji ya urojo
  11. chapati, boflo, andazi
unakosaje mchanganyiko kama huu kwa siku.
ulishawahi kuwaona wazungu wakila sembe kila siku?
1571840177479.png
 
MENU YA VYAKULA NA BEI ZAKE.​

  1. wali nyama = 4500
  2. wali samaki = 4500
  3. ndizi mbivu za nazi = 3500
  4. wali maharage = 3000
  5. pilau = 4500
  6. biryani = 5000
  7. sembe kwa bamia na maji ya kisima = 700
  8. sembe kwa maharage = 1500
  9. sembe kwa mboga na maji ya mfereji = 900
  10. sembe tupu kwa maji ya mfereji au kisima = 500

aiseee maaamaaaa hebu nireeteee libaakuli la sembeee na kopo la maji ninywe, harufu ya sembe ni nzuri kuliko pilauuuu la kihindi lenye mdalasini, hiliki na thoum ndani yakeeee.
alisikika mshamba mmoja kutoka tanzania bara

​
Ila wewe lakini 😂😂😂
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema wadhamini wa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu wanatakiwa kutoa uthibitisho wa maendeleo ya afya ya Lissu pindi shauri hilo litakapoitishwa tena Mahakamani hapo.
_
Lissu na wenzake watatu kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwemo kuandika taarifa zenye maudhui ya uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya Mwaka 2002.
_
Hayo yamebainishwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya kuuliza maendeleo ya Lissu na mdhamini wake Robert Katula kudai kuwa mshtakiwa huyo bado anaumwa.
_
Baada ya kusisitiza maendeleo ya afya ya Lissu yawasilishwe Mahakamani, Hakimu Simba ameahirisha shauri hilo hadi Novemba 21, 2019 litakapokuja kwa ajili ya kusikilizwa.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Back
Top Bottom