carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Someone you love-lewis
sembe linapunguza uwezo wa kufikiri ndio maana wasukuma wengi ni washambaHahah
carbamazepine ni keeeeee au meeeeee ?
Hao ni mtu mmoja...fyekero kwa jingine...babu shimba ya buyenzee de la congo de la gomaaa una undugu wowote na mshana junior?
Habari ya leo shem
Salama tu kakaNiaje
Mzee wa urojo huyo mara chai na bofloHuyu mtu ana ugomvi na ugali hahaha
Sijambo shemeji kipenzi. Wewe kwako huko kukoje? Mdogo wangu kapatikana au bado?Habari ya leo shem
Carba ni KEcarbamazepine ni keeeeee au meeeeee ?
nyote muna uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kujenga hoja, tatizo lako wewe hupendi kushiriki mara kwa mara kwenye mijadala ndio maana wengi wanakuchukulia poa ila mimi si mmoja wao.Hao ni mtu mmoja...fyekero kwa jingine...
Kwa mujibu wa picha jibu ni ndio[emoji23]dah nilikuwa sijaielewa hiyo picha.
hahahahahaaaaaa anadhani kahongwa iphone kwa njia hiyo?
mbona muandiko wako hauna manyonyo kama Depal?Carba ni KE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sembe linapunguza uwezo wa kufikiri ndio maana wasukuma wengi ni washamba