Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2018-09-27%2013.53.23%201877585063584373711_6934233870.jpeg
 
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aliloelekeza kuwa Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya zihamishwe ndani ya saa 24 kutoka katikati ya Jiji la Mbeya kwenda mahali popote ndani ya mipaka ya Halmashauri hiyo, limetekelezwa chini ya usimamizi mkali wa Vyombo vya Dola.
_
Katika kuhakikisha ofisi hizo zinahamishwa, Chalamila ametinga katika ofisi hizo akiwa na magari 5 yakiwemo ya Jeshi, kwa ajili ya kufanya kazi ya kuhamisha nyaraka na mali nyingine za Halmashauri hiyo na kuhamia katika Ofisi za Mtendaji katika Kata ya Inyala Jijini Mbeya.
 
  1. kachori
  2. mbatata za kuchemsha
  3. bagia za kunde au dengu
  4. chipsi za muhogo
  5. katlesi za nyama, mbatata au za mayai
  6. mayai
  7. mishikaki
  8. salad
  9. juisi
  10. maji ya urojo
  11. chapati, boflo, andazi
unakosaje mchanganyiko kama huu kwa siku.
ulishawahi kuwaona wazungu wakila sembe kila siku?
View attachment 1242000
Ila katika kitu kimenishinda ni urojo aiseh!
Kuleni tu acha sie tuendelee na sembe letu
 
Back
Top Bottom