Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nakuona ujue[emoji41][emoji41]Mshukuru Lallana aisee.
Mwanamke wa shoka
Aiseeh[emoji125][emoji125][emoji125]Aaa wapi. Huyu Lallana hajamsaidia Yego lolote. Binti kasema hata ile sare inatosha na yuko tayari kuchukuliwa na eksi wake sema tu eksi kapotea. Sijui mapenzi yamemkaba ameshindwa kupumua huko aliko.
View attachment 1241389
hapana.Daemusin naomba kuuliza kule kissassian umejisajili au? Mie huwa naingia ki anonymous
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ndio umefikia huku sasa[emoji6][emoji23]
Aiseeh[emoji125][emoji125][emoji125]
HahahMENU YA VYAKULA NA BEI ZAKE.
- wali nyama = 4500
- wali samaki = 4500
- ndizi mbivu za nazi = 3500
- wali maharage = 3000
- pilau = 4500
- biryani = 5000
- sembe kwa bamia na maji ya kisima = 700
- sembe kwa maharage = 1500
- sembe kwa mboga na maji ya mfereji = 900
- sembe tupu kwa maji ya mfereji au kisima = 500
aiseee maaamaaaa hebu nireeteee libaakuli la sembeee na kopo la maji ninywe, harufu ya sembe ni nzuri kuliko pilauuuu la kihindi lenye mdalasini, hiliki na thoum ndani yakeeee.
alisikika mshamba mmoja kutoka tanzania bara