Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijasahau alivyotukanwa mh Kikwete kwa kuugua tu Tezi Dume.
Kazi ipo...

Urais ni kazi ya kuchafuliwa japo haya ya kuzushiana mpaka vifo (na viongozi wakubwa wa upinzani kushadadia) yanakera na yanaonyesha jinsi gani ambavyo bado hatujakomaa. Trump anawapeleka puta mademokrati vibaya sana lakini leo hii akiumwa utasikia wote wanaungana kumtakia apone. Japo raia wana uhuru wa kusema lolote lakini hutaona kiongozi hata mmoja wa upinzani akisema lolote baya ( at least hadharani)....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] 2020 Membe na Lissu via ACT Wazalendo...
 
FB_IMG_1571684393145.jpeg
 
Back
Top Bottom