Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzuri/ubaya ni kwamba wala huna haja ya kuwadanganya watu wote (kwa wakati wote). Ndiyo maana hata propaganda zinakuwa zimelenga watu wachache tu kwa sababu hao ndio unaowahitaji ili kutimiza lengo lako (zuri au baya)..."Unaweza kuwadanganya watu furani kwa wakati furani, lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
1,2,3,4,6 & 7 🙌
Everything?1,2,3,4,6 & 7 [emoji119]