Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20191021-WA0026.jpeg
 
nafkiri inaimbwa hivi

Ukuti ukuti
Wanini Wanini
Wa mnazi wa mnazi
Mwenzetu mwenzetu
Kagongwa kagongwa
Na nini Na nini
Na Gari Na Gari
Tumpeleke hospitali asije kusema
Kwa mama yake
Yeeesa yeeesa yeesaa
Yeah
Yeah kuna sehemu waliimba hivyo kuna sehemu tulitenganisha kukawa na nyimbo mbili


Uzeee huu kusahau muhimu
 
Kazi ipo...

Urais ni kazi ya kuchafuliwa japo haya ya kuzushiana mpaka vifo (na viongozi wakubwa wa upinzani kushadadia) yanakera na yanaonyesha jinsi gani ambavyo bado hatujakomaa. Trump anawapeleka puta mademokrati vibaya sana lakini leo hii akiumwa utasikia wote wanaungana kumtakia apone. Japo raia wana uhuru wa kusema lolote lakini hutaona kiongozi hata mmoja wa upinzani akisema lolote baya ( at least hadharani)....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] 2020 Membe na Lissu via ACT Wazalendo...
 
Back
Top Bottom