myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Burudani zinaendelea kutolewa
Hehehee kuwa mhenga raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.. naona mnavyojivika uhenga [emoji23][emoji23]
Hahah haya bhanaHehehee kuwa mhenga raha
Waambie inaongeza na nguvu za kiume 😂😂Kusafisha njia ya mkojo
Waambie inaongeza na nguvu za kiume 😂😂
Bana bana 😂😂😂😂Ukuti ukuti wa nazi,
Tanga serema iyaaa pilipili kidonge iyaaa
Au mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini na gari na gari,tumpeleke hospitali
Enzi hizo raha
King na queen wake bila kusahau ninge na bae wake hata hawaelew kitu hahahaa