Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mchicha huweza kutibu matatizo yafuatayo
Unafanya kazi nzuri sana hapa, i salute you!
happy-tears-salute-emojipedia-mockup-top-requests-2019-picsay.jpeg
 
JINSI YA KUTUMIA MCHICHA KAMA DAWA
MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 ya mchicha, chemsha maji lita 2 na nusu. Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5
 
KAMA UNATAKA KUTIBU MGONGO: Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unaufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)
 
Ukuti ukuti wa nazi,

Tanga serema iyaaa pilipili kidonge iyaaa

Au mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini na gari na gari,tumpeleke hospitali

Enzi hizo raha

King na queen wake bila kusahau ninge na bae wake hata hawaelew kitu hahahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.. naona mnavyojivika uhenga [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom