moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kabisa[emoji818]
Unarutubisha uwezo wa kuona vizuri.
Unarutubisha uwezo wa kuona vizuri.
Duh!
Ukuti ukuti wa nazi,
Tanga serema iyaaa pilipili kidonge iyaaa
Au mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini na gari na gari,tumpeleke hospitali
Enzi hizo raha
King na queen wake bila kusahau ninge na bae wake hata hawaelew kitu hahahaa
Hapana bro,, ni nani huyu?ningendako unamkumbuka Tony Collins?
Usiku wa kupeana raha
[emoji818][emoji818]
![]()
JF Expected Downtime: October 23, 2019
Wakuu, Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu...www.jamiiforums.com
La kuombea mkopo benki, unapewa bila hata kuzungushwa[emoji23][emoji23]...Juve wamefungwa goli tamu sana
Kwema kaka, huku salama kabsa,, habari za huko?Asante sana ningendako[emoji120][emoji120]
Lakini kwema huko kaka!?
Hehehe umeona ee halafu mwisho ilikua cheza cheza cheza mnaongeza spidi ya kuzunguka mpaka raha. Baada ya hapo ndio inakuja mwenzetu kagongwaUkuti wa nazi, tia upepo.......[emoji23][emoji23]