Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutuma nauli kwa uliyekutana naye mtandaoni ni uboya tu...[emoji2089][emoji2089][emoji2089] View attachment 1241395
Kwahiyo unataka kutuaminisha we hujawai kuwa BOYA ata kwa wakati mmoja?

# Idoubt
#😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 katika wanaume 100 lazima wawepo 98 waliokwisha kufanywa mambo
 
MENU YA VYAKULA NA BEI ZAKE.​

  1. wali nyama = 4500
  2. wali samaki = 4500
  3. ndizi mbivu za nazi = 3500
  4. wali maharage = 3000
  5. pilau = 4500
  6. biryani = 5000
  7. sembe kwa bamia na maji ya kisima = 700
  8. sembe kwa maharage = 1500
  9. sembe kwa mboga na maji ya mfereji = 900
  10. sembe tupu kwa maji ya mfereji au kisima = 500

aiseee maaamaaaa hebu nireeteee libaakuli la sembeee na kopo la maji ninywe, harufu ya sembe ni nzuri kuliko pilauuuu la kihindi lenye mdalasini, hiliki na thoum ndani yakeeee.
alisikika mshamba mmoja kutoka tanzania bara

​
 

Attachments

  • 1571808475360.png
    1571808475360.png
    24.1 KB · Views: 10
Tega mitego yako kisha unipime huenda ukapata majibu sahihi[emoji41][emoji41][emoji41]
Kwahiyo unataka kutuaminisha we hujawai kuwa BOYA ata kwa wakati mmoja?

# Idoubt
#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katika wanaume 100 lazima wawepo 98 waliokwisha kufanywa mambo
 
Back
Top Bottom