Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hili jamaa hiliKagame huyoo. Umeme wa kuaminika wa Nyuklia...
View attachment 1241325
Hili jamaa hiliKagame huyoo. Umeme wa kuaminika wa Nyuklia...
View attachment 1241325
Hahah! Mungu atuepushie 🙏Bro, usiombe yakukute aisee😀😀😀😀
Tattoos za kijanja sana
Nikaenda kule kwa Ntolilo but where!!JamiiForums
Karibu, pole sana kwakuwa huduma haipatikani kwa muda kwa ajili ya maboresho kadhaa. Tunaomba muda mchache tu, tutarejea. Uongozi - JamiiForums
Bradha vipi Mbona hapa umecheka sana?
Kipindi hichooo miee Badoo mdogoo nachungaa ngombe na demu mkubwaa tuu kanizidii miaka Kama kumiii hivii nikajaribu kuomba mzigo kiutanii alichekaa akaniambiaa hayaa njoo bwaneee ilee nawekaa kamashinee kanguu nikakutanaa najotoo hataree nikamwambiaa ngojaaa ipoee Kwanzaa daaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sahiviiii ameolewaa na anawatoto wakubwaaa tuuu ilaa nikiendagaa home ananiambiagaa imeshapoaa njoooo
😂😂😂😂😂Huu mtego wako nimeuruka bro😀😀😀
Hapa najiuliza, huko koooote nilipocheka mbona umenitag hapa tuu😀😀😀😀
#naendaKufukuaShimoMahali
#nikilipataNitalikotiHapaHapa
SawaTega mitego yako kisha unipime huenda ukapata majibu sahihi[emoji41][emoji41][emoji41]
Kwako piaMuwe na siku njema[emoji120][emoji120]
nabeka mama mwenye nyumbaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana sikuangalia mpira kabisaaaa nililala mapema ujueNikaenda kule kwa Ntolilo but where!!
Habari ya asbh Esta.
Hivi jana City kashinda ngapi?