carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwakweli[emoji23][emoji23]Kabisaa, kama hakufundishwa kwao kufua basi atakwenda dry cleaner [emoji23][emoji23][emoji23]
Nguvu zangu ni gharama[emoji124][emoji124]Kufua mnatumia gharama gani.... wakati hamnunui sabuni
May be yes kulingana na utengenezwaji wake. Naona akina asasi ipo poaHata ule wa madukani ni sawa?
Utafiti huu una matatizo na hauna vigezo vinavyoeleweka. Wanasema eti wametumia work ethic na aggressiveness kama vigezo lakini hapo hapo wanakiri kuwa vigezo hivi havipimiki kirahisi. Wameishia tu kusema kuwa kwenye nchi zembe watu wake wanalala mapema na kuamka wakiwa wamechelewa na hivyo kuathiri utendaji wao wa kazi. Na watu wengi katika nchi hizi zembe hawajui kusoma waka kuandika. Nilitegemea kuona mambo ya productivity na pengine data za GDP. Kwa ujumla haya ni maoni ya mtu kajiandikia tu na siyo utafiti wa kisayansi.Una maoni gani kuhusu utafiti huu?
Ingawa sina utafiti wa kupinga utafiti huu,
Lakini binafsi nakubali kweli kwamba sisi ni wavivu, ila siamini kama tumewazidi wakongo.
Wakongo ni habari nyingine kwenye uvivuView attachment 1240958
Kuchoshana
Nguvu zangu ni gharama[emoji124][emoji124]
BASHITE leo kaamka vizuri naona....Nilitegemea hili
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Serikali haina Dini, natengua kauli ya DC wa Ilala (iliyowapiga marufuku wananchi wa Ilala kufanya sala katikati ya wiki), watu waendelee kwa imani zao bila kuathiri Sheria za Nchi, Viongozi tunapaswa kuwa makini tunapoingia kwenye mambo ya Dini, mambo ya Dini ni mambo ya imani, mimi mwenyewe hapa ni Mlokole hunipangii muda wa kusali " RC Makonda
Kwani huwa mnatulipa?Kwani mnafuaga bure?
Wewe huwa unamlipaga anaekufulia?Kwani mnafuaga bure?
Wewe huwa unatoa hela?Si mnapewaga ela na mkikuta hata pen mfukoni hamuachi
Shikamoo SYBBASHITE leo kaamka vizuri naona....
Uache kuchoka kwenye ligwaride uje uchoke kwenye kufua suruali zangu mbili na koti moja? Mabinti wa kishua bana dah !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kuchoshana
Marahaba shemeji. Baada ya pona pona ya Jumapili naamini bado unapanga nguo na mazagazaga mengine uliyokuwa umepanga kuhama nayo. Utarudia tena kubeti au ndo umekoma?Shikamoo SYB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uache kuchoka kwenye ligwaride uje uchoke kwenye kufua suruali zangu mbili na koti moja? Mabinti wa kishua bana dah !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sis bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeyajulia wapi shemeji?Majani ya maboga[emoji124][emoji124][emoji124]