Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20191022_150452_112.jpeg
 
Nilitegemea hili
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

"Serikali haina Dini, natengua kauli ya DC wa Ilala (iliyowapiga marufuku wananchi wa Ilala kufanya sala katikati ya wiki), watu waendelee kwa imani zao bila kuathiri Sheria za Nchi, Viongozi tunapaswa kuwa makini tunapoingia kwenye mambo ya Dini, mambo ya Dini ni mambo ya imani, mimi mwenyewe hapa ni Mlokole hunipangii muda wa kusali " RC Makonda
 
Back
Top Bottom