moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hata ule wa madukani ni sawa?Ni lini mara yako ya mwisho kupata maziwa mtindi? Ni vyema ukayafanya kama sehemu ya chakula chako ama baada ya chakula ama kabla ya chakula, yatakusaidia. Soma faida zake hapa.
👍👍Unashauriwa kunywa mtindi halisi uliotengenezwa kutokana na maziwa halisi ya ng’ombe, siyo mtindi uliotengenezwa kutokana na maziwa ya unga
😂😂😂😂😂Mchana wa mtindi
Marahaba sis. Mibaraka tele iendelee kukunyeshea daima kama mvua za vuli zinazoendelea....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Jumanne inaenda vizuri Bro....shikamoo
Jizazi [emoji870][emoji870][emoji870]You should have asked me from beginning, instead of jumping to conclusion on your own. Utakuja vunjika mguu[emoji3][emoji3][emoji3]
Yegoo[emoji847][emoji847][emoji847]Babe! [emoji847]...
Mzee wa kuoshwa mwili na maji ya madafu,[emoji23][emoji23][emoji23]
Majani ya maboga[emoji124][emoji124][emoji124]Ni mboga gani hii inaandaliwa? Wa kishua hapa ni kizungumkuti wallahi [emoji1545]
View attachment 1240613
Na kwako pia depalNiwatakie jumanne iliyo njema [emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahah, salama bro?
Yaani juzi kidogo ungekuta manyoya huku[emoji3][emoji3][emoji3]