Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mboga gani hii inaandaliwa? Wa kishua hapa ni kizungumkuti wallahi [emoji1545]
FB_IMG_1571705011826.jpeg
 
Kwema aisee. Hao jamaa sijawahi kuwatumia; na wala nilikuwa siwajui.

Kama rates zao ni nzuri kuliko za wengine wote basi nitawafuatilia. Mpokeaji ni lazima awe na Voda au inakuwaje?

Jamaa walikuwa wazuri sana, na ninavyofahamu mimi VODA ndio walikuwa washirika wao wakuu. Kwa hiyo nadhani mpokeaji ni lazima awe na account ya VODA. Naweza nisiwe sahihi hapa lakini.
 
Jamaa walikuwa wazuri sana, na ninavyofahamu mimi VODA ndio walikuwa washirika wao wakuu. Kwa hiyo nadhani mpokeaji ni lazima awe na account ya VODA. Naweza nisiwe sahihi hapa lakini.
Wakirudi hewani nitonye. Kwetu Gamboshi kule mambo tumezoea Western Union tu viposta vya uchochoroni huko. Hawa mpokeaji anapokea kama Mpesa au inakuwaje?
 
Wakirudi hewani nifanye. Kwetu Gamboshi kule mambo tumezoea Western Union tu viposta vya uchochoroni huko. Hawa mpokeaji anapokea kama Mpesa au inakuwaje?

Yes, kama Mpesa! Halafu wewe hapa hulipii, mpokeaji anakatwa kidogo kule hela ya madafu. Kunakuwa hakuna tena vurugu/Safari za Posta huko Ikungulyabashashi! [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom