MAMBO 9 USIYOYAJUA KUHUSU JONGOO
Licha ya kuwa na miguu mingi, ukweli ni kwamba miguu hiyo huota baadae. Jongoo anapozaliwa huwa na jozi tatu tu za miguu na upande wa nyuma huwa hana miguu kabisa. Kama tulivyosema, miguu huota baadae ingawa kipande cha mwisho kabisa cha mwili wake kinakuwa hakina miguu hata jongoo akiwa mkubwa.