Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jongoo hawaumi na hata zile kemikali zao wanazotoa huwa hazina madhara makubwa kwa binadamu, zaidi ya mara chache kubadilisha rangi ya ngozi. Hata hivyo, wapo baadhi ya jongoo ambao wanaweza kusababisha malengelenge, kubabuka ngozi na hata muwasho.
 
mbinu za kujilinda na maadui zao kwa namna mbili. Kwanza, pembeni ya miili yao kuna matundu maalumu ambayo yanatoa aina ya kemikali yenye harufu mbaya kiasi ambacho viumbe wakisikia hawawasogelei. Kiumbe pekee anayeweza kumla jongoo, hata akitoa harufu yake mbaya kujihami ni mnyama anayefanana na nguchiro aitwaye ‘meerket. ’
 
Namna nyingine ya kujihami ni kujizungusha (coiling). Akiwa katika hali hiyo, baadhi ya viumbe wanapata shida sana kumla na kwa hivyo kumpa ulinzi. Ni kwamba, adui zao wengi, wanaotaka kula jongoo, wamezoea kula viumbe vikiwa virefu na si duara.
 
71192204_142301233788651_165385231114588104_n.jpg
 
ameshindwa kazi.
jose mourinho anafanya mazoezi muda huu.

pepe + aubameyang + lacazette + ceballos + ozil = upewe nini tena?
Kweli kabsa, arsenal ni moja ya timu za epl kwa msimu huu zilizokamilika kila sehemu.

Sema ameingia uwanjan kwa kuidharahu hii game..lacazette anaanziaje bechi

Alichokuwa anakitafuta amekipata
 
Back
Top Bottom