myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwa wadau wote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sitaki [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee. Nilikuwa siijui hii. Ikirudi nishtue pulizi.Yes, kama Mpesa! Halafu wewe hapa hulipii, mpokeaji anakatwa kidogo kule hela ya madafu. Kunakuwa hakuna tena vurugu/Safari za Posta huko Ikungulyabashashi! [emoji16][emoji16]
Na wewe pia. Msalimie jirani yako Mkokaa.Niwatakie jumanne iliyo njema [emoji173]
Kumekuchaje?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Salama kabisaKumekuchaje?
Kawe na siku njema [emoji1545][emoji1545]