I pray that your bank balance that looks like a fm station 104.7 will soon look like a recharge card pin. 95468450789069. ..
Haha camila huyu dah..
Goodnight Fam[emoji2956]
Marahaba sis. Samahani nimechelewa kuitikia salamu yako ya heshima ambayo umeitoa huku ukiwa umepiga magoti. ASANTE sana sis [emoji1545]Imeenda vizuri Bro....shikamoo [emoji4][emoji4]
Aisee, nini kimewakuta.?
Hawa wachezaji wa liverpool wengi wao wamezaliwa october.?
The GOAT himuselufu
Lala salama. Na ulale kweli siyo tena kuendelea na majukumu mengine [emoji16][emoji16][emoji16]Good night everyone