myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818]
[emoji818][emoji818]
Nimekutafuta jana tusherehekee ushindi ila sikukupata.Hello bro, venye nimekumis bro.! Kwangu salama wasi wasi kwako bro.....
Nashukuru Bradha siku imeenda vizuri
Vipi wewe?
Jina linakujaHaya nimeacha
Salama kabisaHahah,tena naona bomu litanihusu kabisa..[emoji23][emoji23]
Safi kabisa mamito, za wewe.?
Nimekuwa mtoro mno bro....kikubwa uhai hayo ya ukapera yana mwishoNimekutafuta jana tusherehekee ushindi ila sikukupata.
Mimi ni mzima tuu na ukiachans na ukapera mambo mengine yako vizuri.