moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Unamchimba mkwara kuwa asipokulipa unamrudishia mtoto wake. Wiki moja haitapita utakuwa ushalipwa deni lako [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂😂Hata sioni bro.
Kwa kifupi jamaa/librarian siju yake ya kwanza ya kazi, akaanza kupanga vitabu kwenye shelf😀😀.Sasa issue ikawa kwamba licha ya kuwa ameshapanga ila msimamizi akawa anamsisitizia hebu panga vitabu jamaa kimya (bcoz kashapanga😂😂😂😂), panga vitabu bwana "kimya" basi bwana jamaa kibarua kikaota nyasi😀😀😀😀😀
😂😂😂
😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
#kamakingnawakishua
#kiemojchakuchekawanawekahivi[emoji28][emoji28]